Mahakama Kuu nchini Marekani imezuia uamuzi wa wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kutaka iwe ni lazima kwa Watu kuchanjwa chanjo ya Covid 19, kuvaa mask au kupima Corona angalau mara moja kwa Wiki kwenye maeneo ya biashara hususani yanayobeba Watu zaidi ya 100.
#MillardAyoUPDATES