๐ฆ๐จโฝ Klabu ya #ManchesterUnited iko katika hatua za mwisho kukubali Ada ya uhamisho WA Mshambuliaji #Osimhen , inatazamiwa Ada ya uhamisho huo itagharimu Kias cha ยฃ60 na Mshambuliaji huyo atapokea mshahara WA ยฃ15 kwa mwaka.
๐ฆ๐จ Kiungo wa Kati WA timu ya Taifa ya Spain na klabu ya #Realsociedad Zubimendi ,yupo tayari kuondoka majira ya joto , Klabu za #Realmadrid na #Liverpool zipo tayari kutuma ofa.
๐ฆโฝ Klabu ya #Manchesterunited wako katika hatua za mwisho kuwasilisha ofa ya Mshambuliaji Liam delap WA Klabu ya #ipswichtown, Mshambuliaji huyo ndio chagua namba moja la Klabu ya Manchester United.
๐จ๐ฆโฝ Kipa timu ya Taifa ya ureno #Diogocosta yupo tayari kujiunga na klabu ya #Machestercity, imefahamika kuwa wakala WA mchezaji huyo tayari yupo kwenye mazungumzo na klabu hiyo ya Uingereza.
#Soon#TransferNews