"Hakuna kujifunza kusiko na gharama, kama si fedha basi maumivu na makovu. Isingekuwa hivyo basi kujifunza kusingekuwa na maana wala umuhimu." ~Togolani Mavura.
Mwanamke aliyekamilika ni mtu anayeweza kukufanya ujisikie mwenye nguvu hata ukiwa dhaifu. Ninaamini kuwa mwanamke mwenye nguvu ni mtu anayeweza kumwinua na kumtia moyo mume wake☑️