KWA NINI BITCOIN NDIO FEDHA IJAYO
Najua ushawahi sikia kuhusiana na Bitcoin na hususani teknolojia iliyoko nyuma yake lakini swali je Bitcoin itakuja kutumika kama pesa halali hapo mbeleni?
Ili kupata majibu ya swali hili lazima tuangalie historia ya fedha na mapinduzi yake
⬇️
Na kiwango cha soda ni kile kile!!
So Kwahiyo uchapishaji wa fedha kupita kiasi kunaweza kusababisha inflation!!
Kupunguza inflation Central bank huwa zinaongeza Viwango vya riba ( Interest rates) (uzi wake siku nyingine)
Nafikiri somo limeeleweka!🙏🏾🙏🏾
Retweet tweet ya kwanza
UKWELI WA KUVUTIA KUHUSIANA NA SOKO LA FOREX!!
Unaijua cable pair? 😅😅😅
Unaijua nchi yenye forex traders wengi?
okay basi tuanze na hili
👉 11% ya forex traders wote ni wanawake ..
Hapo unakutana na mademu wanapiga pips balaa 😅😅
Retweet basi na wewe🔁😅
Twende sasa
Nilikutanaga na watu flani hivi kabla sijaanza kulima Pilipil wakaniambia ukiwa na 3M Tu yaan unatoboa🤦Mi huyo chap nikachukua vusenti vyangu nikaenda kukodi mashamba picha likaanza Kodi ya Shamba Tu wanataka 600k Kwa miezi 6 🤦so nikalipa ayaa tukaanza kuanda Shamba mziki
Kwanini MUNGU kwanini?
Siku moja kijana mmoja alikuwa anasafiri na marafiki zake na boti ndogo katika matembezi yao Kula starehe lakini mara ghafla upepo Makali ukatokea ukasababisha kupasuka kwa boti kutokana na maji kuingia kwenye boti marafiki zake wote👇
Dear university student, huku mtaani wenyewe tunasumbuka sana kupata kazi na tuna madigrii ya shule na ya mtaa pia. Jitahidi wakati huu ukiwa na hizo allowance uanze kukaa na wenzako mfikirie kuanzisha biashara na kampuni zenu. Hatuna kazi za kuwapa haki ya Mungu vile.