Lissu anamuomba hiyo nakala ya hiyo kesi. Katuga anasema ipo mtandaoni. Lissu anamuuliza uko serious kweli mimi niko jela unasema uamuzi wa Mahakama uko mtandaoni? Jamaa wameenda kutafuta huo uamuzi. 😂
Mh. Tundu lissu 🔥🔥🔥
Repost bila kuchoka ✌️
Kabla sijalala. I wanna see if y’all can show some love to SC Tundu Lissu. Today been a great day. Let’s give the defiant TAL his flowers. Top lad!✌️🙌🏼
Hongera sana makamo mwenyekiti wetu wa chama taifa @HecheJohn unafanya kazi kubwa kwenye kipindi kigumu mungu atakubariki Kwa majitoleo Yako ya kweli kwenye taifa hili
Tumpe mauwa na retweet 2000
Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost 🤞
Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike
Repost 🙌