๐จ๐๐๐๐๐๐๐๐
Msikilize Kwa Makini Hapa Mdau Huyu wa Sanaa, na Utuambie Unakubaliana Nae Kwa Asilimia Ngapiโฆ?!๐ค
#MeaMswahiliUPDATES
Chanzo Cha Jamaa Kumuua MKE Wake Ni Mke KUCHEPUKA, Jamaa Aliugua Kanakwamba Akawa Hawezi Tena Kuchakata MBUSUSU Mke Wake Akamwambia Waachane. Kuhusu NYUMBA Hawajaijenga Wao Ni Mali Ya BABA Yake Jamaa
Sikiliza Huyu DADA Akisimulia๐๐
Kaka hata ungekua wewe nadhani ungefika huko unaumwa CANCER ya Utumbo MKE kabadili HATI za mali kwa jina lake halafu amesha file TALAKA uuguziwe wapi? akuuguze nani? na unajua hapo ni wewe na KIFO au Mungu aamue vinginevyo niko upande wa huyu kaka na Mungu amsamehe.