@DaimuManafi Mmmhhhh
Ngoja tuone ila sio kama tunavyofikiria hawa wataulizwa maswali ambayo majibu yao yanawalazimisha au wanajikuta wanamtetea bila kujua watashtua wameshatamka nimaswali kama ya mtego ambayo jibu lake unajikuta umemtetea mtuhumiwa indirect
@MwananchiNews Nikija kuwa na uwezo wakuipa nchi mabadiliko vyama vibaki viwili tu wakubali kujiunga na CCM na wengine wachague kujiunga na CHADEMA baada ya hapo na futa vyote tubaki na vyama viwili hapo ndio tutaenda sawa
@TheRealJongwe Yaani mm ndio huwa simuamini kabisa huyu jamaa ngoja tu siku wamuandalie donge nono ndio mtajua rangi zake mara kumi ya huyo msigwa ila huyu nipopale ntawakumbusha
@bbcswahili Maoni yangu : Tukijua kinacho sababisha kuwe na maridhiano na nini au ninani wanoleta au kuperekea maridhiano kuwa muhimu ndio tutapata jibu je maridhiano yanawezekana bila CHADEMA ?
@godbless_lema Tulikuamini ila ndio tunasema SIKIO linataka kuzidi KICHWA na kama wewe unajinasibu ni mtu wa Mungu basi omba Mungu akupe HEKIMA ya ki-Mungu kipindi hiki
@Ntobi_ Simlishahama chama mnatafuta nini tena tulieni pembeni tulio wakabidhi chama pale Mlimani City waongoze chama hatutaki kusikia kelele zozote kutoka kwa waliohama chama
@WideEdson Basi chama na uzee ule anatwgemea atatafutwa akacheze timu za vilabu vya juu πππ na uzee ule atulie tu na maumivu ya mgongo maana alijirusha akadondokea mgongo