@aikande@ChademaTz Hivi huyu ni dr kweli au ni malaya wa hapa Sinza.... unaandika maoni yako na kutoa maelekezo kwa watu wengine wakae kimya hyo mandate unayo.... na hayo si ndo mnasemaga CCM wanawaziba watu midomo??? Nyie ni hovyo sana
@aikande@ChademaTz@freemanmbowetz Aikande hamtaweza kudhibiti hisia za watu kwa kuwapangia kuhama chama, hiki ni chama cha umma sio cha wachaga washenzi sana kumbe nyie
@EduTalkTz@Ntobi_@TunduALissu Mnyika aliwahi kusema Nchi imefika mahala pabaya kwa sababu ya udhaifu wa kikwete..... mimi nasema chama kimefika hapo sababu ya Udhaifu wa mnyika na rushwa waliohongwa na Abdul.... washenzi wakubwa
@AykerP @ThabitSenior@MwananchiNews Mnalinganisha matukio ili kumsafisha mlamba asali, au tusubili Lissu nae asimame jukwaani asifie maCcm kama alivofanya bwana mkubwa..... au tuseme wote wamehongwa
@EduTalkTz Mmepiga risasi hajafa, mmejaribu kumfunga hajanyamaza, mmejaribu kumuhonga mkashindwa mmepeleka hela kiutani amepokea mi nafikiri wao ndo wanapaswa waumie na sisi wananchi tunazidi wachukia na kuwakasilikia
@MariaSTsehai Huyu Awadhi ni kiumbe dhaifu sana, watu wanaojifanya wanajua kuonea watu sababu ya vinafasi hua ni wadhaifu sana ukiwakuta hawana hyo nafasi, mfano mzuri ni yule jamaa aliyesema kipigo cha mbwa koko, ukikutana nae pale Dodoma sahv anatia huruma sana.... mbwa hawa
@MakundiW@CarolNdosi@CarolNdosi wewe unaexposure na Elimu safi kabisa tjo sina uhakika lkn navoonaga post zako nashawishika kusema unauelewa mzuri juu ya mambo mengi tu ya nchi yetu..... acheni unafki msaidie hii nchi ndo ujumbe nakuachia au endeleeni kuvizia teuzi na kufumba macho
@fbuyobe Ilikua ikipinga ufisadi uliofanywa na nani? Unajua kuna vituko sana sababu kama ulipinga ufisadi ulifanywa na ccm na leo umeamua kuhamia kule kwenye ufisadi na kuanza kuwaponda wale uliwaacha kwamba nimeondoka sababu sahv hatuwapingi tenaππ