For best research and consultancy services in Tanzania a, don't worry RICA's got you. If its report writing, data collection, cleaning & analysis, feasibility studies & market research, you name it! RICA gets the job done.
#Tanzania#Research#creatingacultureofefficiency
Don't understand why people don't just lock in on YouTube
My faceless YouTube channels make me $120,000+/mo (long form only)
There is 𝗻𝗼 𝗹𝘂𝗰𝗸 involved
Let me send you a free course on exactly how to do it
Just Retweet and Comment " “Course"
Must follow so that i can DM
Utajiri wa kweli ni tabia
Uvumilivu, nidhamu, kujizuia kutumia ovyo, na kuwekeza ni mambo yasiyoonekana kwa macho
Lakini ndiyo yanayojenga utajiri halisi.
Kumbuka kile unachoona na kuzani ni UTAJIRI huwa ni matumizi na sio UTAJIRI
Utajiri hauonekani kwa macho
USICHANGANYE
Control your lust, and you’ll control your life. A man who isn’t ruled by desire can’t be manipulated. Self-mastery is the rarest and most respected trait in men.
Baada ya Miaka 5 Leo Ndio Nimejua Kuwa:
Ili Kufanikiwa Kwenye Biashara Yoyote Duniani Unatakiwa Kuwa Vizuri Kwenye Vitu Viwili Tu:
1). OFFERS
2). DISTRIBUTIONS
PS: Na Hata Ukifanikiwa Kuwa Vizuri Kwenye Kimojawapo Tu—Bado Utakuwa na 80% za Kufanikiwa!
Silaha 3 kumfikia uyo mtu unaeamtaka kuwa- TOLEO lako bora
1. NIDHAMU
-Fanya hata kama hujihisi kufanya.
2. CONSISTENCY
-Kuwa na mwendelezo na unachokifanya ni mbio za kila siku, sio za kasi.
3. IMANI
-Njia pekee ya kufanikisha ni kujiamini.
Furahia mchakato 👊
Mambo muhumu ya kifedha kuyajua
1. Jenga tabia ya kuweka AKIBA, ata kama ni kidogo
2. Wekeza kwa malengo ya muda mrefu (Hisa, aridhi, mutual fund)
3.Jifunze kila mara kuhusu pesa na uboreshe maamuzi yako
4. Kuwa na subira, uvumilivu ndio silaha ya utajiri
#AddictTosuccess
Kuwa na nidhamu sio ADHABU ni kufanya mambo na kuwa na tabia zinazo-align na malengo yako.
-Wekeza wakati wengine wana-SPEND
-Endelea wakati wengine wame-ACHA
-Jifunze ujuzi wakati wengine wana-Party
And that’s the reason why successful people are few
The game of PRIORITY
Kila wakati ni mwanzo mpya.
Kila pumzi ni fursa ya kuwa toleo lako la juu kabisa.
Keep focusing
Stay positive
Keep the promise na maono yako
Wewe ndiye mwandishi wa story yako mwenyewe.
Hakuna anaejali kuhusu wewe
Kila mtu ana karatasi ya maswali yake
G M
Anza kujenga nidhamu ya kujimudu mwenyewe.
Ukiona biashara ime-fail jifunze jinsi ya kuanza tena.
Mchongo ukigoma, jifunze njia ya kuunda mwingine mpya.
Ukiangushwa na mtu uliyemwamini, jifunze kuendelea bila msaada wake.
Wewe ndio PLAN B ya matatizo yako.
save YOURSELF.
USE YOUR MONEY TO:
1) Look better (grooming)
2) Feel better (food choice)
3) Make more money (invest)
USE YOUR TIME TO:
1) Look better (gym)
2) Feel better (meditation)
3) Make more money (skill)
Spend your time & money on things that will improve your QUALITY OF LIFE.
This Luxurious Villa in Arusha will cost you $420 a night, Hosts 7 guests, 3 bedrooms, 4 🛏️& 3 🛀. Situated in Wildlife Golf it is a 5.0 rated stay for you & friends or a family.
Wapo watu wengi ambao wanaweza kukuomba hela kwa ajili ya kufanyia kitu ambacho ingekuwa hela yao WASINGEFANYA au KUNUNUA.
Moja ya hekima muhimu kwenye matumizi ya pesa ni kujua msaada MUHIMU ambao lazima UMPE mtu au kutoampa ili umsaidie wakati mwingine atakapokuwa na SHIDA YA KWELI au usaidie wengine wenye UHITAJI wa haraka.
Usisahau kuwa kuna watu wengi wanaoamini kuwa UNA PESA NYINGI ambazo hazina kazi na huwa wanazipangia MATUMIZI hata bila kujua MAJUKUMU YANAYOKUKABILI.