@obby__davinci Nilikuwa Morogoro mwaka 2019 kipindi ajali hii inatokea!
Nilikuwa nikimalizia masomo yangu ya Uhandisi wa Kilimo!
Kwakweli ilikuwa huzuni sana nyakati zile, angalau kila mtaa wa Morogoro mjini ulikuwa na msiba!
Macadamia is a hidden treasure. For anyone considering a profitable agri venture with substantial health & economic benefits, macadamia presents an incredible opportunity read through https://t.co/E66vhz7pKc