@kamau_munywa@RadioCitizenFM
Kamau Nairobi ingetajwa huku kwetu radio INA vibrate
Yaani siku zile miti ilikua inatembea ukiwa kwenye gari
Ni Dan Osinya Wa Washington DC Kibra
Nikiwa Mabale Busia county
#goodeveningkenya
@kamau_munywa@RadioCitizenFM
Kamau taja Chris Ong'elechi hadi Wa leo ni dereva hitajika katika kijiji cha Bwamani bila yeye safari haiendeki
#goodeveningkenya
Ni Dan Osinya nikiwa Mabale junction Busia county