@SimbaSCTanzania@KapombeShomari Muwe mnapaki basii....mkiona mmeshinda .. kwenye mechi ngumu ngumu kama hizii...ona Sasa mkatukoseshaaaa point 3 mhimu....yaaani nyie bhanaaaaa...dk za jionii Azamu wanachomeaa.....acheni kujiaminii kiivyoo...Azamu walitumwa....walikuwa na Jambo lao...........
Mpango Mpya wa Dunia unaandaliwa,Watu watalazimishwa kuabudu siku ya Kwanza ya Juma ( JUMAPILI) ,POP ndiyo kiongozi Mkuu wa Mpango huo, Na Kila ataye Pinga atateswa sana ..mateso waliyopata watakatifu wa awali yatarudi tena..Jiandae YESU ANAKUJA TENA.
@mzeewakaliua Acha Kupotosha watu,,.nyau wewe,mkubwaa hivyo na Masters Yako,hujuwiii hata kudadafua maandiko....1 korintho 7;2 Kila Mwanaume na awe na Mke wake Mwenyewe,Efeso 5:33 Kila Mtu na Ampende Mke wake ,Mwanzo 4:25 Adamu akamjuwa Mke wake ..hakuna palipoandikwa wake...bali ni Mke mmoja
@mkandamizaji Bro ..your a good Pastor I appreciate you So much,,but seek More about the truth of Sabbath Day,,then tell your followers,,and teach them right 🙏🙏