A Catholic priest blesses Germany, Austria, and Switzerland with Jesus in the Blessed Sacrament on Lake Constance
Video: AVEMARIA - Zuflucht und Weg zu Gott
CHADEMA tumekuwa tukisisitiza jambo hili kwa muda mrefu; Katiba Mpya imekuwa wimbo wetu na ndiyo ajenda yetu kuu.
Hongera kwako Bwana Nchimbi kwa kuunga mkono hoja hii, hata kama imekuja kwa kuchelewa. Lakini ukweli uliowaambia Watanzania ni jambo ambalo tumesema kwa muda mrefu: Taifa letu linahitaji mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali, na Katiba Mpya ndiyo msingi wa kuleta mabadiliko hayo.
Hata hivyo, kauli hizi zimekuja kwa kuchelewa sana kutoka upande wenu. Sasa Watanzania wanataka kufahamu msimamo wa Ndugu Samia Suluhu Hassan kuhusu suala hili. Mchakato wa Katiba Mpya utaanza lini?
Bwana Nchimbi,una nafasi ya kusaidia kuondoa vikwazo vilivyopo kwa sababu @ccmtanzania ndio yenye hofu ya kutoka madarakani. Wananchi tayari wameshaeleza msimamo wao: wanataka Katiba Mpya na wanataka Mwenyekiti Tundu Lissu awe huru bila masharti yoyote.
Wakati umefika wa kusikiliza sauti ya wananchi na kuchukua hatua.
Tumebakiza Tsh. Laki tano pekee kufikisha Tsh. Milioni 200 katika Marathon ya kuchangia Tsh. milioni 334 ya kuwezesha kikao cha Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
#KatibaMpyaFreeTunduLissu
Congratulations to the eight new deacons ordained to the priesthood today for the Jesuits Community in Kenya at the Holy Family Basilica, Nairobi.
๐ท: Archdiocese of Kenya
CCM, Serikali na washirika wake; wanataka tusahau mauwaji walioagiza mwaka 2025; wakati huo huo wanaendelea kuteka raia na kushikilia mateka mahabusu wananchi walikuwa wakidai haki na uchaguzi huru.
Hawastahili msamaha. Wawajibike kwa khiari na au wawajibishwe kwa nguvu ya umma.