@Ntobi_@Sativa255 Kipindi cha kuungana kili kua ni kabla ya uchaguzi, lakini nyinyi mkashupaza shingo mkachagua njia yenu iliyo jaaa tamaa udalali na uchawa. Muungano wa maridhiano tumewaachia nyinyi na CHAUMA
@Ndolezi_Petro@zittokabwe Hakutakua na maandamano maana chama pekee kinacho weza kuitisha maandamano nchi hii ni ACT na ACT tupo kwenye uchaguzi, hivyo nawasihi watanzania wasiandamane waende wakapige kura.