@wisdomjaykwa Unaaminisha watu ujinga wako, na unapoulizwa unakimbilia kuwa harrass wengine, fuck off man, kaungane na juma lokole tu huna busara yoyote. Bloody idiot
@wisdomjaykwa Wisdom?
Eti uelewa wangu ni mdogo nimesoma baadhi ya majibu unayowapa watu nikagundua kabla ya Mimi kukuuliza swali kuwa huenda nyani haezi kamwe kuliona kundule bila msaada wa nje ya mwili wake.
Iko hivi mi nimeuliza swali kuwa unatufundisha nn?
@wisdomjaykwa Sasa apo unatufundisha kuwa mondi anajua kingereza au tusitishiwe na washindani wengini katika mambo tunayofanya?
Maana point uliyomalizia ni kuhusu mondi, hopeless.
@Cyancuty1 Kuna wimbo unaitwa "everybody" wameimba Chindo man,songa na prof. Shida ni kuwa Chindo umri umeenda sidhan kama anaeza akahusika na hii mambo ya sasa ila ikitokea akamjibu huyo Jones aloo Kenya itahanya bumps.