@Jaguar_455 Na kwanini mtu aumie yeye na familia yake just kwa kuandamana??
Hizo ndio mentality zinafanya nchi zetu hizi zinakosa uwajibikaji wa kiuongozi na hatutokaa tufike kwa akili za namna hiyo!!
@Balyx_ 5M ni mshahara wa DC na anapewΓ nyumba na vinavyoendana kama umeme, maji na kadhalika, anapewa gari, dereva, walinzi, mafuta na posho nyinginezo!!
@Balyx_ Hii nchi sinema ni nyingi sana na sijui kwanini tunajidanganya kwamba tunaweza kuendesha nchi kwa sinema hizi...!!
Leo taasisi inatoa gawio la bilioni 3 na miezi michache ijayo ripoti ya CAG ikitoka, taasisi hiyohiyo imeingiza hasara ya bilioni 30.!!
MADNESS AND STUPIDITY.!
@RickyJaduong86 Kwa hivyo unataka kusema Mheshimiwa "Tiger woods" aliomba msamaha fake?
Kwamba alikuwa anamnafikia mwendazake na hapohapo akamtegea shoti "Mbea Mkuu"
πππ
Mtanzania gani yupo sawa kwa nchi yetu kunyimwa misaada?
Bajeti yetu kwa mwaka ni kiasi gani na sisi mapato yetu jumla ni kiasi gani??
Tutajitegemea kwenye nini yaani,
Tangu lini tukajitegemea kwa kila kitu?
Endeleeni kushupaza shingo hizo!!
Sawa ! Wafute kila kitu mbona wanajiongelesha sana.. Wafute tu kwani Tanzania watakuwa wa kwanza kufutiwa misaada?
Wafute tutajua cha kufanya na kwanza ndiyo tutajitegemea zaidi na zaidi.. Mbona watanzania wako sawa tu lakini wao wanajipigisha kelele kutwa kucha..
@Britanicca0 Kuna mengi sana kaka!
Kuna ripoti ya CAG iliyosheheni Madudu as always,
Jaji Chande alipaswa kuwasilisha ripoti yake jana tarehe 3 lakini hajaonekana popote hadi sasa!!
Mbunge wa EALA kateuliwa kuwa mbunge wa Ikulu,
Mheshimiwa DC kawahiwa na mwamba mmoja kutoka Mkuranga!!
π π π