@mzawaMUFC@This_is_B3@Wakanda_republi Watu wabishi tu ila chama katuachia memories ambazo itachukua muda sana kuzisahau.. Vs Nkana🙌🏻 Vs As vita hii ndo sitasahau kabisa
@BrilliantFly9@Adventure_36 Lamadi utasimama tu utake usitake pale abiria wengi sna wanaotoka Bariadi wanasubiri gari zinazotoka musoma kwenda Mwanza au zinazotoka Mwanza waende Musoma/Tarime.. ukiunga pale labda uwe full
@BracuszCadabra Me kumbe nina macho ya mpira.. maana jana baada ya Mudathir na Damaro kutoka.. game ikawa nyeupe kwa simba duke hamna alichofanya alivoingia.. Maema na Inno waka outshine midfielder wa yanga kabisa
@de_santo92334@MarekaMalili Kuna mwanangu mmoja ye anapiga bei ile ile ya zamani 1000, 2000 fresh hakai kijiweni... ikifika saa 2 usiku anakwambia asee nazima simu naenda kulala.. anakula vichwa balaa
@mzawaMUFC 2023 nlinunua Note 20 ultra.. hadi sasa ninayo kwa kweli simu za wanangu kama 5 nliwaagizia hapo.hapo hasa s10 na note 10+ ziko sawa kabisa..