@EsirEid Zile kelele za "mbona messi alicheza foul kama hii na hakupewa red" ndio zimefanya fifa wafanye haya😂😂,,,,, imebidi tu wawe na consistency ili kuzima moto,,Balogun ni straika tegemez USA
@KitabuchaBaba@madeinmusoma Alaf mpangilio wake ni rahisi sana, ni ishara ya msalaba ya kila siku, unaanza nasadiki kwa Baba , alaf kwa bwana mmoja, alaf kwa roho mtakatifu (TRINITY ) baaada ya hapo ndio unamalizia nasadiki kwa kanisa moja😅
@spana_Konki Niljua kanisa ni mahali kwa wenye dhambi kutubu kwa Mungu, ila kwa uyu bwana ni tofauti. kanisa lake wote ni watakatifu , hakuna hata 1 anaejiuza ndio maana kawasema sana wanaojiuza. Mathayo 21:31-32
“Wakusanya kodi na makahaba wanawatangulia kuingia katika Ufalme wa Mungu.”
@rollymsouth Chuki inayozalishwa hapa ndio inapelekea hata kwenye misiba ya ndugu wa karibu au wenza wa makada wa ccm wananchi wanatukana baada ya kuungana kuomboleza,, study case;kifo cha mke wa mrisho npoto✍️