@Sisimizi3 Wewe mwenyewe hatukuaminj tangu linj sisimizi akawa na akili ndio maana unattributed kuchochea mambo yaharibike kwa Chadema nani alikuambia Lema na Mbowe ni mtu na mjombake?
@Sisimizi3 Tumjue amekua dagaa tunazokula sisi? Huyu anatuhumiwa kwa mengi nilianza kusikia kipindi cha Magu akimzungumzia kwa kinywa chake kwamba kapiga T 60 za sare za jeshi Magu hakua anasemaga kwa kubahatisha wewe nani unataka tumjue zaidi?
@1ngadu1@mangekimambi@MariaSTsehai Nchi washauziwa wa Oman wewe una chi ipi kama Ngorongoro ni yao,Bandari zote za Bara ni zao,Uwanja ndege wa Kilimanjaro na Mwanza ni wao Mwendokasi ni wao na hivyo ni vichache tu kumbuka maneno ya Ndugai nchi hii ipo siku itapihwa mnada Deni la Taifa ni T ngapi vile?????
@Sisimizi3 Usiwapangie watu hata wewe ukifa wanaweza kufurahi na sijui kama wewe ni kiongozi wa serikali wafu wanafuatana na matendo yao either wahuzunike ama wafurahike