Citizen|Rider|Driver|Father|Teacher|Basketball|Soccer fan|IT lover & Pro in making|Farmer.
.
.
.
no one has ever been so busy, it's just a matter of priorities
@SalimuIbwe haya mazoea ya kupigiwa simu bhana...si nikakata Isamilo siku moja πππ wale jamaa waliacha abiria na hawajui kama kuna abiria amebaki, halafu hiyo ndiyo VIP yao sasa, jamaa alikimbiza gari na bodaboda mpaka Ukiliguru huko.
@Mkuruzenzi@Jambotv_ sasa kipengele kiko kwenye hii Probox; seating capacity yake ni 5 tu...hawa wengine wawili walikuwa wapita njia? kuna shida hata kwa hawa askari wetu.