It is all about the Future of Work x Future of Marketing. Watch https://t.co/dSY5oj34bW an amazing set of panelists sharing great opportunities to make good money online at Social Media Week Nairobi @SMWNairobi#WowziToTheWorld
Wadauee Ni rahisi sana kutumia #vodacomapp ina okoa muda
Rahisi kunanunua bando,kucheki salio la bando,m pesa data,dakika nk. Zawadi na point unazoweza kubadili kua pesa kwenye #TikisaUshinde ni za kutosha
Pakua App ๐ https://t.co/q7GElEtn4y
@VodacomTanzania#TikisaUshinde
Karibu tu zungumze kwa kina ni namna gani teknolojia inaweza kuwa msaada mkubwa kipindi hiki cha uviko19. @littleridetz ' @babalao__@Deondera@McinikaWaLamar
#SOSDiplomats wamenipa elimu juu ya #UstawiSalamaMtandaoni kuwa sio kila jambo ni la kuchangia,sio kila vita ni ya kupigana kwasababu kufanya hivyo ninaweza kujikuta ninamuumiza mtu bila kujua,hakika nawashukuru sana @WomenAtWebTZ_MC wamenifanya kuwa salome mpya.
Habari
Natafuta sehemu ya ku volunteer katika industry,institution or company
Am Level 6 technician trained in physics,chemistry and biology in Laboratory skills and profesional conduct in both theoretical and practical aspct
Cont:0624613046
Plz retweet ili iwafkie wengi zaid ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ
@Glorympayo@Wowzi_TZ Bonyeza link hii uweze kudownload Apps kupitia Playstore kisha ujisajiri kama influencer na kujipatia pesa bila stress https://t.co/VM7abWrwEA
#InfluenceWithWowzi
Ukiwa na followers kuanzia 25o unaweza kushiriki na @Wowzi_TZ kupata app hi nenda pakua playstore yako download https://t.co/BLjYrLCVuS
#influencewithwowzi