@Mondinho71 Ishu ya ushoga unayoiongelea ni miaka 3 nyuma (2019) kwenye interview, alimtaja (Taylor rhe creator) "he's my boyfriend" na baadae kuandika IG, kama utani
Hii video ni mwaka jana, akiwa na girlfriend wake (Sab zade) huko Beverly hills, wakitoka lunch pamoja.. HE'S NOT GAY