@kalage_jr Kwa kuuliza. Wanauliza watu ambao wapo kwenye mahusiano, na wasio kwenye mahusiano. Wakati wakiwa faragha, ni nyimbo za msanii yupi huwa wanasikiliza sana. Then baada ya kukuaanya, ndipo wanakuja na jibu. THE WEEKND
@George_Ambangil@hildo28967 Huyo mzee ni muhini sana. Anajua kuicheza hiyo mochezo. Kaona yule mwenzio kaja na kampeni ya Haaland & Rodri. Yeye kaweka fumbo, ili wapiga kura wawe na muhaho 😂😂
@cleansheet_1 Ni fashion tu. Haina tofaut na mwanaume anayevaa heleni, kusuka na kupaka rangi kama Ronaldo.
Hata huku kwetu, itafikia hatua ambayo itakua ni kitu cha kawaida ( kama uvaaji wa heleni )