@mj0058 Ila kitendo Cha askali kunyang'anya funguo ni kosa na Lina KERA sana,nini maana ya faini?kama Kuna kosa kwanini wasimchukulie Sheria?kunyang'anya funguo na gari Iko on inakera sana
@CheGuevara_tz@HecheJohn endelea sana kuchafua wenzio ukidhani una mbingu ya peke yko,kumbuka kila jambo litaletwa hukumuni mbele za MUNGU,na jiandae maana hukumu inakuja nq MUNGU anakuja kutenda haki ambayo wewe unaikanyaga
@Malyekete@TanzaniaLeaks Yaani wewe huna akili kabisa,kwahiyo lisu ndio alishika mitutu ya bunduki kuua watu??alipanga na nani huko gerezani??ukikosa akili jitahidi uwevna aibu basi
@acapulc008@godbless_lema Wewe nawe akili hazimo sasa chama kikifa wewe kinakuhusu nini??acheni kujiondoa ufahamu,msijione nyie ndio bora kuliko wengine,MUNGU YUPO
@SimbaSCTanzania Ndiomaana mnafungwa kila siku,hamna malengo endelevu,ni kugawanyika tuu ndiko mnajua,nabawamu hii tutatolewa ligi ya mabingwa,niko pale
@HildaNewton21 Hivi huyo Mafwele mbona anatajwa mara nyingi sana kuhusuka na magenge Haya,na hajawahi kutoka hadharani kukanusha Wala mamlaka ya ya serikali wamekaa kimya inamaana wanataka kuthibitisha kama ni kweli??kwanini mnaumiza watu??damu zinawalilia jaman
@__ez01@rollymsouth Hilo unaposema genge la wahuni,ulishawahi limeteka watu??au kuua? Mbona mnahangaika sana?nyie watakatifu mmefanya Nini kuzuia watu kutekwa??ni aibu kwa taifa