Kwa kuwaongezea, Lema alikuwa anachat na Nchimbi muda wote. Na maongezi yake na Nchimbie yalitumika kwenye kamati ya maadili. Lema alimuuza Nchimbi.
Ukisoma hizi posti kwa kutulia utaona Lema anacheza team gani kwa sasa.
Kiongozi yoyote huko CCM ambae unachat na Lema, we jua kina Abdul message zako zote wanazo…….
BREAKING: Taarifa tulizo zipokea muda mfupi uliopita ni kwamba, Ndege kubwa ya Mizigo imeondoka toka Loliondo kuelekea UAE jana usiku. Ndege hiyo imebeba Sheena kubwa sana ya wanyama pori. TISS na JWTZ wako wapi?
Kadinali Pengo ashauriwe kupumzika kwa sababu yeye ni sehemu ya historia chungu na mbovu sana ya utawala wa Magufuli. Kadinali Pengo hakuwahi kunyanyua kinywa chake pale kampuni ya Magufuli ilipopewa tenda ya kujenga uwanja Chato, hakunyanyua mdomo pale watu walipokuwa wanapewa kesi na kuporwa mali zao, hajawahi kunyanyua mdomo kuongelea mkataba wa hovyo wa TICTS kwa zaidi ya miaka 25 , hajawahi kuongea unufaikaji wa kanisa lake kupitia Askofu Kilaini kwenye hela za rushwa za ESCROW, hajawahi kutoa kauli pale chaguzi zilipoibwa na kuharibiwa na watu kuuwawa wakati wa Magufuli.
Huu uchungu na watanzania kaanza kuupata leo kusikia DP World wanakuja kuwekeza ? Au kwa kuwa siyo wakatoliki? Kadinali Pengo ndiye aliyemsaidia Kakoko asiende jela hata baada ya kukutwa na magunia ya fedha nyumbani kwako akiwa mkurugenzi wa bandari. Au anataka tuanze kusema amenufaikaje na uwepo wa Kakoko pale bandarini?
Ni vyema Kadinali Pengo akashauriwa ajikite kwenye kupigania afya yake kwa sasa kwa sababu anaonekana hana kumbukumbu ya mambo mengi sana kiasi kwamba anaongea mambo ya nadharia na yasiyo na maana kama vile bandari ya Dar Es Salaam imeanza leo.
Ni vyema kanisa lake likamshauri asilitie kabisa kwenye mikingamo na tukaanza kuhoji uwezo wake wa afya ya akili kwa umri alio nao kwa sababu anaongea vitu havieleweki. Masuala ya kuwa na utaalamu wa kuendesha bandari mbona hakuyasema wakati wa Mkapa, Mwinyi,Nyerere au Mkapa? Au sasa hivi ndiyo anaona umuhimu wa uwezo wa watanzania kuendesha bandari kwa kuwa anayekuja kuwekeza siyo mkatoliki kama Karamagi?
Kama ni watanzania ,basi Karamagi na TICTS yake ni watanzania na walichofanya kwa miaka 30 ni wazi na kukaribia kuuwa bandari wakishirikiana na akina Kakoko ambao ni maswahiba wakubwa wa Kadinali Pengo angewakemea hao kwanza au hana kumbukumbu?
Tunajua kuwa Kadinali Pengo ni mnufaika mkubwa wa bandari wakati wa Kakoko na kwa sasa anataka kutumia kanisa kuleta mikingamo kwenye jambo hili la uwekezaji wa DP World.
#KigogoMediaUpdates
@VodacomTanzania Your money wallet services are horrible. Nimetuma pesa tangu juzi mpaka sasa hakuna kitu na kwenye simu zimetoka. Kila nikipiga simu naambiwa ndani ya 24hrs hizo 24hrs za nchi gani????
Yale niliyekuwa nayasema yametokea.
Uteuzi wa majaji unafanywa bila ya UWAZI wala COMPETITION na matangazo ya uteuzi yanatoka usiku wa manane.
Huwezi kuwa na UHURU wa Mahakama kwenye hali hii.
@ortamisemitz Mheshimiwa Waziri tunaomba mje na huku katikati ya Jiji la Dar es Salaam (UPANGA) muone aibu ya barabara mitaa ya Nyang'oro, Undali na Maweni. Hakuna lami wala mitaro ya maji taka zaidi ya miaka 30 sasa. @TaruraTz
@Mwanahalisitz Wasikurupuke kufungia hii huduma, Jiji watumie hii kama fursa kwa kuweka gharama za kuingia katikati ya jiji (CONGESTION FEE) na kwa wale ambao tayari wanakaa katikati ya jiji wapewe special permits kuonyesha ukazi wao na umiliki wa hivyo vyombo.
Mimi ni Yanga kufa ila Myonge mnyongeni, Haki yake mpeni. @hajismanara amefanya kazi kubwa sana kuleta chachu na chombezo la hali ya juu katika KARIAKOO DERBY.