@daktarimtalii Mm kuna ndugu yangu alikojoa hadi anamaliza form4 ila kuna mzee mmoja alimpa dawa siku hiyo hiyo akaacha na huyo mzee kawapa dawa wΓ tu wengi sana na wameondkana na hilo tatizo
@TBoundBuses Mimi sio dereva ila nadhani hizo alama zinashiria kua ulikua sehemu yenye barabara pana lyb sasa unamaliza kile kipande kipana unaingia kwenye barabara yenye upana wa kawaida tu
@PresenterNoah Kwahio kama hela aliyouziwa sakho asilimia 15 ni milioni 10 mnataka kutuambia sakho aliuzwa kwa hela ya mboga milioni 70 kinyume na mlivyokua mnatuaminisha??