@nulphin BONNY HUYU ana kuku zaid ya 150k. Anafuga kwenye banda la ghorofa anaokota malaki ya mayai. Acha nyama ya mbuzi anazouza hadi nje ya nchi na ambazo huwa anauza hapa Tz. Eti anakulaa ruzuku...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Katembeeni kwenye shamba lake mjitunze
@Ntobi_ Tulijadili wapi na lini kaka? Itakuwa umenifananisha na wale wenzako wa nyama na bia za bure😅
Sasa hata kama ningekuwa mjinga kiasi gani, ningewezaje kuachia nafasi ili nipate nafasi ambayo sina uhakika nayo? Madiliko tuliyokuwa tunapigania hayakuwa ya kugawana vyeo kaka.
WHAT IS WRONG WITH TANESCO KIGAMBONI. KILA SIKU HITILAFU. KILA SIKU HITILAFU.
Namwonea huruma afisa mahusiano maana anaomba radhi hadi kumwaga radhi. Uchunguzi ufanyike na tupewe maelezo ya kina kulikoni.
KILA SIKU!!!!!! kuvuruga maisha ya watu @Tanescoyetu
Kama tutaendelea kuruhusu watu wasio na maarifa (elimu) waendelee kuwepo kwenye “vyombo vya maamuzi” basi miaka michache ijayo tutaambiwa elimu haina maana yoyote kwa maendeleo ya nchi hata individuals.