Kiongozi wa Chama Cha @ACTwazalendo Ndugu @zittokabwe akiambatana na Makamo Mwenyekiti Zanzibar Ndugu @jumadunihaji, Katibu Mkuu @AdoShaibu wamewatembelea wakulima wa karafuu kwenye kijiji Cha Ngwachani katika Jimbo la Chambani kujionea maendeleo ya uzalishaji wa zao la karafuu