@AdvocateKondele @Miss_caren12 @Labella_Mafia95@Lizzie36021 @bahati_amosi @DullahTheking2 @NiftyStringZ17 @Masakajunior1@Exquisite_255 @shiggaJr @Ambele_Young @GoodluckMalekoJ Mamlaka hazipokei plan ya jengo au ramani
zinapokea maombi na kufanya First na second inspection.
Kwa ngazi ya ADDO ukaguzi hufanywa na Kamati ya Chakula na dawa (Ward Food and Drugs Committee), baada ya hapo hupelekwa ngazi ya wilaya , mkoa hadi kufika baraza la famasi
@deus_mathew hapa issue ipo kwenye LATERAL ENTRY
India mtu mwenye Diploma anaanzia mwaka wa pili degree.
Wakati utaratibu wa registration (provisional au full) ni mtu aliesoma angalau semester 8.
@igy_bm23@fundo_baraka upo sahihi daktari
ingawa sheria ina loophole moja.. Pharmacy inaweza kuanzishwa halafu maabara ikafwata, lakini ikianza maabara -pharmacy council hua hawatoi kibali cha kufungua pharmacy eneo hilo.