@JayleenRickie Skia mdogo wangu.. tulisema tangu jana, ili upande juu ya meza inabidi uvae red. We unakuja na machungwa mdogo ili upande meza ipii..
Sa skiaa.. njoo kesho mdogo wangu ndo kutakuwa na meza za machungwa.... ๐๐๐๐
@iamcleopatricia Ulishaona ile situation mnabadilishiwa mwalim wa somo..??
Akija mwalm mpya utaskia mliishia wapi.? Hiki na kile mlishasoma..?
Nb.. lazima uulize ukitaka kuanzisha utawala wako. Ili ujue unaanzaje.