This is 40. Officially on the 4th floor and the view is getting better. I thank God for his Grace & Mercy for allowing me to reach this age. I hope for more unpacking in this new decade. Unpacking of burdens, things & people – only carrying what is necessary. Cheers to a new age.
$LZM files Initial Assessment for Kabanga, confirming its Tier 1 potential with a 22-year mine plan & production of 1.15 Mt #ni, 171 kt #cu, & 87 kt #co.
With $2.37B after-tax NPV and 22.9% IRR, Kabanga is set to power the energy transition from Tanzania: https://t.co/Xgbz8rmFwm
During her 🇹🇿 visit, 🇬🇧 Trade Envoy to East Africa @KateOsamor MP had the opportunity to engage with leading investors like Tower & Co, Kabanga Nickel & @VodacomTanzania, who are powering 🇹🇿’s digital & industrial future with 🇬🇧's support.
#GoFarGoTogether#UKinTanzania
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Lentz amekutana na Naibu Waziri Mkuu Biteko kuwasilisha hoja mbalimbali kwa niaba ya wafanyabiashara wa Marekani na kusisitiza umuhimu wa chaguzi huru, haki na za amani kwa Watanzania na wawekezaji.
Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
📸 @LifezoneMetals hosted its first Investor Site Visit for 2025 at the Kabanga Nickel Project. Our team showcased the progress and potential of this exciting project, demonstrating our commitment to innovation and sustainable metals production to meet global needs. 🌎
Follow us on social for more updates.
$LZM #TemboNickel #KabangaNickel #Tanzania #Mining #Sustainability #EnergyTransition
Biden in Angola: Tanzania and Zambia Take ‘Connecting Africa’ Position on Lobito Corridor Amidst U.S.-China Rivalry
U.S. President Joe Biden concluded his trip to Angola on Wednesday, December 4, 2024, with a meeting attended by Angolan President João Manuel Lourenço, Democratic Republic of Congo (DRC) President Félix Tshisekedi, Zambian President Hakainde Hichilema, and Tanzanian Vice President Philip Mpango.
The meeting dubbed the Lobito Corridor Trans-Africa Summit, focused on a transregional infrastructure project connecting mineral-rich southern DRC and northwestern Zambia to western markets via Angola’s Port of Lobito, utilizing the existing Benguela rail network in Angola.
Supported by the U.S. and the European Union, the project is being implemented by a consortium of three multinational companies: Singapore-based commodity trader Trafigura (49.5%), Portuguese civil construction group Mota-Engil (49.5%), and European railway operator Vecturius (1%).
“When I launched this project with our G7 partners last year, I said our goal was to build a better future. And, folks, the future is here. It’s now. The future is here,” President Biden told fellow leaders.
Read more>>>https://t.co/hXFEDGErat
📍Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati) akieleza kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya madini katika kukuza Uchumi wakati wa mkutano wake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb) (katikati) na Waziri wa Madini Mhe. Antony Mavunde (Mb), kushoto, uliofanyika Treasury Square, jijini Dodoma.
📸:W/Fedha
My son saw my earlier tweet &he asked:what else do you want to do?Nothing:I have done everything a reasonable human being would have wanted to achieve in life,I replied.”Just give me a decent burial when my time comes to go”.No, he said:You are going nowhere!That’s nice from him!
Delighted to have the discussion on building a greener future on the Environmental, Social, and Governance(ESG) considerations and the principles to be leveraged to attract sustainable investment into the region in support of the local traders and SMEs.
This was well landed by Ms. Martine Valcin, Country Manager, Tanzania, Rwanda & Uganda at International Finance Corporation (IFC), Ms. Mona Muguma Ssebulina, CEO at Abi Finance, Benedict Busunzu, CEO at Tembo Kabanga Nickel Corporation, and hosted by the charming Cathy Adengo, Regional Head of Sustainability from Stanbic Bank Uganda.
#StanbicEABusinessSummit
📍Perth,Australia
▪️MRADI WA KABANGA NICKEL WAVUTIA UWEKEZAJI MKUBWA KUTOKA KAMPUNI ZA AUSTRALIA
▪️Jumla ya Dola Bilioni 2.2 kutumika kuendeleza Mradi
▪️Waziri Mavunde atembelea kiwanda cha kusafisha Madini kama kitakachojengwa Tanzania_
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya madini ya BHP inayotarajia kuingia ubia na Kampuni ya Lifezone Metal kwa ajili ya kuwekeza nchini Tanzania katika mradi wa uchimbaji madini aina ya Nickel,Wilayani Ngara Mkoa wa Kagera.
Mazungumzo hayo yalijikita katika kutoa taarifa ya maendeleo ya mradi wa Kabanga Nickel unaosimamiwa na Kampuni ya ubia ya Tembo Nickel ambayo serikali pia ni mwanahisa.
Mradi wa Kabanga Nickel unatazamia kugharimu kiasi cha Dola za Marekani Bilioni 2.2 ambapo zaidi ya Dola Bilioni 1.6 zitatumika kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa mgodi na uchenjuaji wa madini utakaofanyika wilayani Ngara,Kagera na Dola Milioni 600 zitatumika kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha usafishaji wa madini(Multi metals Refinery Facility) ambacho kitajengwa katika ukanda maalum wa kiuchumi(Special Economic Zone) eneo la Buzwagi,Wilayani Kahama,Shinyanga.
Kampuni ya BHP ni moja kati ya kampuni kubwa 3 za madini Duniani ambayo ina mapato Dola Bilioni 60 kwa mwaka sawa na Tsh Trilion 160 kwa mwaka.
Kampuni ya BHP inayotazamia kuingia makubaliano ya ubia na kampuni ya Life Metals kuendeleza mradi wa Kabanga, ilifunga shughuli za uchimbaji madini Barani Afrika miaka 15 iliyopita na sasa wapo tayari kurejea Afrika kupitia nchi ya Tanzania.
Waziri Mavunde alitumia fursa hiyo kuwashukuru kwa kuiamini Tanzania na kuamua kurudi kuwekeza kupitia mradi wa Kabanga na kuwahakikishia kwamba ni maelekezo ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuendelea kuwavutia wawekezaji kwa kutengeneza mazingira wezeshi ambayo yamejengwa kwa weledi kupitia falsafa yake ya 4R.
Aidha pia Waziri Mavunde ambaye aliongozana na Balozi Baraka Luvanda Balozi wa Tanzania nchini Japan ambaye pia anasimamia Australia, ametembelea kujionea teknolojia itakayotumiwa kwenye ujenzi wa kiwanda cha kusafisha madini yaani Multimetal Refinery facility ambayo itatumia teknolojia ya kisasa ya Hydrometallurgy kupitia Kampuni ya Tembo Nickel inayomiliki mgodi wa Kabanga nickel uliopo Ngara.
📸:W/Madini
"Niko hapa Australia Katika kiwanda ambacho pia kitawekwa Kahama Shinyanga Tanzania, Kwa ajili ya Kusafisha makinikia yaliyochenjuliwa kutoka Katika Mgodi wetu mkubwa wa Kabanga. Hii niliyoshika ni nikeli iliyozalishwa Ngara mkoani Kagera, imechenjuliwa &imekuja kusafishwa hapa
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya madini ya BHP inayotarajia kuingia ubia na Kampuni ya Lifezone Metals kwa ajili ya kuwekeza nchini Tanzania ktk mradi wa uchimbaji madini aina ya Nickel,Wilayani Ngara Mkoa wa Kagera