Madogo wakitoka kulala uwa kuna ka nusu saa flani hivi ya Utulivu, unaweza kusema watoto si ndio hawa, kumbe wana update mafile.
Badae wanageuka Maninja, Ma Spiders ๐คฃ๐๐ผ
Sema simshangai Lubasha kuingizwa mkenge na ZZK. Hamna watu warahisi kuwadanganya kama wasukuma. Early 2000s mmoja aliuziwa shule ya msingi mapambano sinza. Asubuhi anashangaa wanafunzi wanakuja "nyumbani" kwake. Ndio kushtuka kapigwa