@millardayo Tanzania hakuna COVID 19 huu ni uongo mkubwa na kutaka kuleta taharuki na kuhujumu utarii ili wageni wasiingie mwezi unao kuja mafua tangia tumezaliwa yapo Tu acheni taarifa za kuhujumu uchumi wa Nchi Kwa kuweka taharuki Kwa watarii watakao hitaji kuja Nchini kuanzia hivi kalibun
Hey! I’m using Ibotta Cash to earn rewards.
You just play scratch cards, quizzes, games, capture tasks & app install tasks — and win Rewards!
Download & try 👇
https://t.co/JxbHih40k4
@mshambuliaji Madakitari wanatakiwa kutoa elimu ya kutosha Kwa jamii Mimi ninacho kifahamu Hizo hizo dawa ndo zinazo tumika Kwa kutibu au kufubaza virus 🦠 vya homa ya ini hepatitis B usione Mtu anazimeza ukazani anaukimwi kumbe anatibu homa ya ini
@mshambuliaji Wantanzia hawana elimu ya kutosha siyo kuwa kutumia dawa hizo kua anaweza kuwa ana maradhi ya ukimwi je Kama MKE wake alikuwa anatumia hizo dawa Kwa kutibu hepatitis B maana hizo dawa ndo zinazo tibu hepatitis B Hali maarufu homa ya ini homa ya ini hutibiwa na hizo dawa.
@godbless_lema Ujinga siyo tusi je welevu wako ni upi ndugu Kila kitu mnalalama kama wanawake wenye mimba ambao huona Kila chakula ni kichungu 🤔 jifunzeni kuwa na subra kidogo angalau.
@MariaSTsehai Hatukuhitaji kufika hapa,wanadini waliongea wakapuuzwa, viongozi wengine kama wakina polepole waliongea wakapuuzwa, hakuna ulimi ambao haukunena wakapuuzwa Leo hii kumenuka wamekimbia
@mangekimambi Mimi sikutegemea kufikia hapa tulipo fika sihitaji vita tunahitaji amani ila kama Kuna wanajeshi wameletwa kutuua basi tupambane nao Kwa kombeo Ili tuponye maisha yetu Hadi pale Hali itakapo kaa sawa, maana wale wanajeshi wa uganda wao wanacho kijuwa ni kuua watu Sasa tujihami
@mangekimambi Ndugu watanzania nipitie page hii Kama Kuna watanzania wenzetu wameanza kuuwawa na wanao senekana wanajeshi wa Uganda Basi tusisubirie kuuwawa Hadi tuishe Kila mtanzania tengeneza kombeo tupambane na Hao waganda Kwanza Kwa kombeo Maana sisi hatuna bunduki ila tuna mikonge kombeo
@PMadeleka Kwa majina anaitwa Peter madeleka kijana wa kitanzania aliye ukimbia u police na kuacha mshahara wao akahamia katika fursa ya uwakili wa kujitegemea ,Alisha pambana na kesi mbali mbali hapa Nchini hapo kuwa watu wenye vichwa vigumu walikuwa wakimbeza kuwa Alisha shinda kesi Gani
@vladimirputiniu He came the second time as a messenger telling the world that ll make the world to be with peace but he ended sending the attack to Iran,he said I ll stop The Russian problem to with Ukraine that ll Take 24 hours but he ended supporting Israel to make problems to ghaza without no