@iamcleopatricia Tukishawaoa mnatuletea wadogo zenu kutoka mikoani eti anaenda chuo mwaka wa kwanza alafu ukicheki mtoto mkali,qmmk namuachaje sasa,namuweka mashine vizuri tu,waswahili wanasema haramu kuona au kujua.
@1France04 @SONGSCREENSHOT @Mkunga_Og Saikolojia ya mke iliharibika ila watoto walitembea na miezi 8 tena wakiwa na afya bora kabisa,masomo wanafanya poa sana wapo shule ya upili.narudia tena baba habemend mtoto.
@1France04 @SONGSCREENSHOT @Mkunga_Og Tumeona wengi sana,kwa maana nakupa shuhuda za kweli broo,mshikaji wangu alioa miaka 15 ago akapata twins wote wa kike,yule manz aliwanyonyesha miaka miwili,kwa kipindi chote hicho mchizi alikua anaruka na mademu kinyama yani,tulichoshuhudia ni saikolojia ya mwanamke tu.
@1France04 @SONGSCREENSHOT @Mkunga_Og Kumbuka kisayansi maziwa ni damu au yanatokana na damu kwa ratio maalum,sasa kama mzazi atakua anafanya inamaana anabadili mzunguko wake wa damu,nilishakwambia baba habemendi mtoto.
@1France04 @SONGSCREENSHOT @Mkunga_Og Itamuathiri kwasababu kwa wakati ule mwili unatengeneza mechanism au hali ambayo ina mfeva zaidi mtoto kwa kipindi cha almost two years,kama unabisha jiulize kwann mama anaenyonyesha akibeba mimba anaambiwa asiendelee kunyonyesha.
@1France04 @SONGSCREENSHOT @Mkunga_Og Hujaelewa,jitahidi kuelewa kwanza,nimekwambia mke akichepuka mwili utapokea nutrients ambazo ni tofauti na zile za baba mzaz kutoka kwa huyo anaechepuka nae,kiafya hii lazima itamuathiri mtoto.
@colinsmushi12@isack_eliji@Mkunga_Og Hii haina ukweli mzee,
Rudi kwenye sperm compactblts na blood changes kwa mama tu sio kwa baba kwasababu baba hanyonyeahi.