Wakati Wa MAGUFULI Watu Walitekwa Nakupotezwe MAITI Ziliokotwa COCO
BEACH Watu Walipokemea Nakutaka Majibu Walishughulikiwa Wakati Huo MUSIBA Na POLEPOLE Na Maccm Mengine Yakiunga Mkono Matendo Hayo Na Kuyashangilia.
TUNDU LISSU Alivyopigwa Risasi September 7/2017/ MUSIBA Alisema Lissu Hajapigwa Na Risasi Kapigwa Na Plastic Akasema “Hivi Mnaijua Risasi Nyie?” Hawa Watu Leo Wanatoa Milio Sababu Wamekatiwa Ulaji Hawa Wanavuna Walichokipanda Na Wanapaswa Wapitishwe Kwenye MATESO Waliyopitishwa Wengine Ili Wajue Hasa Umuhimu Wa HAKI Hawa Kwasasa Sio Wapigania HAKI Hawa Ni WANAFIKI Hakuna Kuwaunga Mkono Hawa Wanafiki Watuletee BEN SAANANE Na Waseme Nani Alimpiga Risasi Tundu Lissu Wasituchezee
By KIDUKU OFSA NGIRI 🐗
Tulikuwa tunawashangaa mababu zetu, pamoja na wingi wao kwa idadi, iliwezekanaje wakatawaliwa na kufanywa watumwa na watu wachache tu...
Sasa hivi sisi ndio watumwa wa kundi la watu wachache sana😭
Nawakumbusha 👇🏾
Wame-panic 😄 kwa hiyo kazi yetu ni simple - keep calm na tuendelee na
#NoReformsNoElection
Mbona tushaanza kuelewana? 😂
Sasa wanataka kujua how? Wakati tukiwauliza mtalindaje kura wanasema ni siri 🤣
👊🏽 ka-boom 💥
#NoReformsNoElection is the only logical choice
Haya mateso aliyopitia huyu kijana mpaka anafariki ndio wanapitia watu wote wanaotekwa.
Mimi ni moja ya wachache tulioweza kupona kwenye kipigo cha kikatili kama hiki. Kibaya zaidi huwa wanarekodi mateso yote na kuwatumia wakubwa zao (WAKINA MAFWELE , MURILO).
Kama tuu wewe hii video moja umeshindwa kuimaliza kwasababu ina mateso makali sana. Sasa wakina MAFWELE wanaziangalia kila siku kufuatilia kazi waliyowapa WATEKAJI wao.
Tuna watu wakatili sana, na hao ndio tumewapa kibali watuongoze na tunawalipa MISHAHARA kutufanyia UKATILI.
Taifa langu la TANZANIA tutaamka lini? Mpaka yafanyike mangapi? Kwanini hatuchukui hatua? Aahh kummke kuzaliwa kwenye hii nchi ni LAANA aisee.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kama toka awali ulishasema NRNE na ukaendelea kusimamia msimamo huo.
Basi acha shobo za kupost post sijui Arusha mchuano utakuwa mkali.
Mara ooh Kawe patachimbika.
Acha mihemko focus na agenda yako ya awali.
Mnafanya Endorsement za bure na kuhalalisha mnachokipinga…..
STOP THIS‼️
I know ni ngumu but Jikazeni nyie wakiume!!
Mbona mimi nimekaza!!
Ndugu zangu tumefikia hapa, M/MUNGU Awatunze na Kuwabariki.Tangu nilipoanza challenge ya changizo nje ya Hapa mpaka Leo nimepata 3,156,800
Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani)
NAWAOMBA/NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA
IBRAHIM TRAORE Amewajengea Wananchi Wake Hizi Nyumba Sisi Viongozi Wetu Wanabadilisha V8 Za Mamilion Ya Pesa Kila Mwaka Hii Nchi Inamuhitajj TRAORE
Mpeni RT 200🤝
Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. @HecheJohn leo hii mara baada ya kesi kuhairishwa kwasababu ya jaji Mwanga ambaye ndiye anaeendesha kesi kutokufika mahakamani.
#NoReformsNoElection#JusticeForChadema
Kusifia utawala ni hiyari,
Kukosoa utawala ni wajibu,
Tuna haki ya kukosoa na kutoa maoni kwa lugha laini au kwa lugha ngumu.
Lugha zote zinapaswa kuvumiliwa kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba
Katiba haisemi una haki ya kutoa maoni kwa upole,
#FreeJanethRithe#NRNE