#MadiniYetuUchumiWetuTuyalinde
" Leseni zote za Madini hutolewa na Tume ya Madini isipokuwa Leseni Kubwa ya Uchimbaji Madini (SML) ambayo hutolewa na Tume ya Madini baada ya kuidhinishwa na Baraza la Mawaziri," Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa.
Mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho #ASFC tuliibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Arusha FC.
Kesho zamu ya Mwadui FC 😋. Mchezo utapigwa Uwanja wa Taifa kuanzia saa 10 jioni. Karibuni Wanasimba. #NguvuMoja
FEAR is what keeps us from taking the leap of faith. But FEAR is just
False
Evidence
Appearing
Real
If we see false evidence as false, we have nothing to fear!
Najiweka kando na @SimbaSCTanzania kitendo cha @moodewji kutuletea Makonda kuwa mshauri ni kututusi, mtu asiye na ujuzi wa mpira wala historia ya kucheza chandimu, ambae kwa miaka mitano amekuwa akituumiza katika Siasa za Upinzani. Nitabaki @Arsenal na @AVFC_News ya @Samagoal77_