@MmbettaJ@HecheJohn Kuwa ulihitaji mawasiliano ya chumba Cha kuhesabu kura wewe mgombea yakusaidie kipi ilihari nyote wagombea mnasubili kamati itangaze huenda ulishindwa kujenga hoja zenye mashiko Kwa wapiga kura jifunze kupokea matokeo ya box la kura kuwa ndio matakwa ya wengi
@davitheempire@HildaNewton21 CCM wapo kwenye nchi yenye Kila kitu duniani na zaidi ya vitu lakini ndio nchi ya tatu Kwa umaskini duniani wamekosa mawazo ya kutumia raslimali walizonazo ndio ufukara wetu uliza lingine
@Labella_Mafia95 Muulize Mungu kama ulichofanya ni sahihi majibu kaa nayo Bible inasema ukimtaliki mke/mume aendako anazini uendako unazini hakuna kuoa au kuolewa imekaaje kwako umejikwaa ukaangukia kuwa na kanisa la duniani ukaacha neema ya milele
@AbroadTanzania Bunge lisilo jitambua tangu tupate uhuru ni hili la Ackson mmebinafisha bandari milele mmewachia watanzania wajao nini? Nchi ipo gizani maji safi hayapo mjipime wenyewe tunaowaona mnahangaikia matumbo yenu tu
@mshambuliaji Unajichanganya mwenyewe soma ulichoandika ( hata penati aliyofungwa pia alitoka mbele hatua Moja ila mpira ulikuwa Kasi) ni dhahiri kuwa yanga haina wapigaji wa penati wazuri isipokuwa hiyo mmoja aliyefunga Kwa mpira wakasi
@rollymsouth Matumizi ya watoto chini ya umli wa miaka 18 hayakubariki kisheria hawa imekuwaje? Huyu mtoto kwenye mkutano huo hawaoni ni uvunjaji wa sheria zetu kutumia watoto vibaya
@PeaceAn53909929@TanzaniaLeaks Hapana mkataba hauna shida ni mzuri nasi tuanapenda mwekezaji katika bandari yetu iboreke hatupingi uwekezaji shida ni vipengere ndani ya mkataba ndivyo tunapinga hivyo vikiondolewa mkataba utakuwa mzuri
@Oraibtz@TanzaniaLeaks Hii inaonyesha ni jinsi gani baadhi yetu hatuna uwezo wa kuchambua mambo ya msingi Kwa taifa tuache mzaha kwenye mambo ya msingi
@JMagezj@mokertz__@DullahTheking2 Shida sio madereva watu tuliowapa dhamana ya kusimamia sheria hao ndio tatizo wao wanalushiwa pesa chombo kinapita haya yatakoma ikiwa wasimamizi wa sheria wataacha kutupiwa fedha chini wasimamie sheria
@HildaNewton21 Kuna wakati nabii mmoja aliwagonga watu mihuri ya kwenda mbinguni Kwa shs 200000 ana eneo flani mitaa ya kibaha aliwakusanya hapo waumini wake wa nchi mzima wakatoa je Leo akiagiza hayupo wa kupinga huyo tu aliuza mbingu
@buildplusdesign@MsigwaGerson Hizi nyumba ni za kifahari tupu weka ramani za kati na za chini utulenge wote sq meter 110-kuendelea wengi wetu tupo hapo hata kuuliza tunashindwa ni za juu mno
@siadevinci Kimsingi namba plate yenye herufi "A" ilipita kabla aina hii ya gari kuingia nchini hivyo wanajitambulisha Kwa urahisi mno yeyete akiona hiyo A anajua ni ya usalama inajulikana hiyo