1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)
Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba.
Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro
Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha.
Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile
Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K
Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua.
2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani
Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni.
Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka, mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wapi Taita! Wapi Big mungai!
Hata kama mtachukia hii inasema kitu.
Tuna Tanzania ya kuijenga.
Niltegemea wale watoa matusi hapa wangekuwa wa kwanza kufika magomeni๐คฃ๐คฃ๐คฃ