@SimbaSCTanzania Yanga hii inafungwaje Γ2 , sasa hivi wanasema walikuwa pungufu ila wazee wa ndele mmejua kutusubirisha , shida wazee wengi kwenye timu π
@YoungAfricansSC@ClatousCC Baada ya kipindi kirefu hatimae Utopolo mmempata yule mliyekuwa mkimuota usiku na mchana , alafu kwetu alikuwa average player .
Hatimae wale wazee wa Simba wamepata pakulia pensheni zao , sasa ngona tuanze sisi kufanya kufuzu ya usajili nasema hivi MAJI MTAITA MMA
@SimbaSCTanzania Kocha la dunia limeshasema sisi ni kina nani tumpinge, kiufupi jana tuliocheza tena dhidi ya timu bora ugenini lakini mashabiki wengi tumeridhika kwelikweli na kiwango cha Simba Sc hii ndio tafsiri halisi ya kocha bora , ndani ya muda mfupi tayari Simba Sc inacheza mpira mzuri
Mechi ijayo ni Simba Sc tutakuwa ugenini dhidi ya Wydad Casablanka , hapana shaka hii ndio mechi itakayo hutaki fighting spirit ya hali ya juu , kama mashabiki tuna imani na kikosi chetu kwasasa .
@SimbaSCTanzania Tutegemee matokeo mazuri kutoka kwake , kocha mkubwa , kocha la viwango vya FIFA na CAF , kocha la mafanikio na furaha , kocha mkubwa na wa rank ya juu Tanzania na Afrika Mashariki hii ndio maana halisi ya Simba Sc timu kubwa Afrika
Labda tufungwe na Mahakama kuanzia sasa πβ€