@YoungAfricansSC Kocha wetu mwambien apunguze kuongea Sana,,,Safar bado mbichi asije Acha ndala mapema,,,,Chuga ndo mechi ya Kwanza badala amjengee moyo wa kujikubali tayari anatafuta Kiki kwa waandishi,,,Yanga letu ni moja
@YoungAfricansSC Leo Mudathir Simu ziite,,,,Mzize acheze na walioizoea dabu,,Ooohkelllo aongeze kello waprov ni international player wenye dharau wanyamaze