Nina ndoto
Hawa ndugu zetu waliotekwa watapatikana sio muda mrefu
Afu kuna mtu mmoja ataangushiwa jumba bovu kama kamfano tu baadae ndio inakuwa imeisha hivyo
Naona wanaendelea kulipika polepole
Tanganyika tumepewa adhabu ya kifo kwa mtutu wa bunduki
Hakuna mtetezi tena
Hakuna mwenye uchungu tena
Hakuna mwenye akili kuhusu kesho
Hakuna mzalendo tena
Ni kundi tu la wauaji linalala na kuwaza damu za watu kila saa
🚨 TANZANIA 🇹🇿
Today, September 3, 2026, unidentified armed men allegedly abducted a woman named Rosé, who is seen being forced into a vehicle in the video. It is reported that anyone who tried to intervene or defend her was beaten.
Who are these armed men? Where was Rosé taken?
We demand answers, accountability, and her safe return.
#Tanzania — NO HUMAN RIGHTS
#StopAbductions
@hrw@amnesty@commonwealthsec
It is confirmed! Mwita Mirumbe was killed by his police colleagues!
Mirumbe was stationed in Dar during the #TanzaniaMassacre and witnessed first hand the atrocites! This was an inside job to get read of witnesses like him who condemned openly the killings and abductions
Jamani naendelea kuwa kumbusha wazalendo wote ndani ya mfumo - watawamalizeni hawa wauaji! Wanaogopa uwajibikaji na nyie ni mashahidi
Huu ni muda wa kuungana na wananchi kumaliza huu utawala wa kidhalimu! Mirumbe kosa lake ilikuwa kupinga mauaji wazi akijua yuko salama! Hakuna aliye salama !
#SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Tanganyika tumepewa adhabu ya kifo kwa mtutu wa bunduki
Hakuna mtetezi tena
Hakuna mwenye uchungu tena
Hakuna mwenye akili kuhusu kesho
Hakuna mzalendo tena
Ni kundi tu la wauaji linalala na kuwaza damu za watu kila saa
‼️HABARI MBAYA‼️
Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.
Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa.
Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu.💔😭
#EnforcedDisappearances#Tanzania
This is what Samia Suluhu is doing with Tanzanians since 2021 - brazenly abducting even women off the streets!
Probably aother fake plate number used on a Toyota Hard Top vehicle to abduct a woman in broad daylight in Dar es Salaam
Cc @WGEID@WorldBankAfrica@IMFAfrica@SFRCdems@SenateForeign@FCDOGovUK@commonwealthsec
Gari la watekaji leo Dar es Salaam lifuatiliwe wapendwa! Na hao mafeminist waliokuwa wanamsifia Samia Suluhu waje huku sasa kumtetea mwanamke anatekwa mchana kweupe namna hii!
@tanpol huu ni utekaji si ukamataji na mtawajibika kwa haya! #SamiaMustGo
‼️🚨MORE EVIDENCE OF POLICE SHOOTING AND KILLINGS‼️
#TanzaniaMassacre
This is Mwanza and we continue to collect evidence
This is just a fraction that we make public
Jamani narudia Acheni! Acheni! Acheni!
Kwa sasa bora muanze kujipanga na kesi na utetezi ila msiendeleze huu ujinga ili Samia na familia yake waneemeke!
Hawa askari ni wa Kirumba na Central wameua watu Nyasaka Soko Jipya, Pasiasi
Narudia ACHENI! Hii siyo vijikesi vyenu mlivyozoea ni crimes against humanity!
Mwambieni aliyetoa amri ya shoot-to kill aka Mass murderer in chief aondoke na msikubali amri HARAMU!
#D9 isiwakute hapo na damu mkononi!
Kijana mdogo kama huyu unamnyima haki ya kuishi
Unamnyima uhuru wa kuonana na ndugu zake
Unamtesa vikali
Hivi unapata faida gani?
Wew utaishi milele?
@SuluhuSamia tunajua wew ni mnywa damu muachie huyu kijana
Sept 2026, the ICC has received the Oct 29, 2025 petition but has not announced an investigation. The matter is still under review by the Office of the Prosecutor, and can be reconsidered if new evidence is submitted.ICC releases a statement on this case about Tanzania
Sept 2026, the ICC has received the Oct 29, 2025 petition but has not announced an investigation. The matter is still under review by the Office of the Prosecutor, and can be reconsidered if new evidence is submitted.ICC releases a statement on this case about Tanzania
#Onthisday in 2015, the trial of Bosco #Ntaganda opened.
⚖️ Mr #Ntaganda was found guilty of war crimes and crimes against humanity committed in #Ituri#DRC and sentenced to 30 years of imprisonment. An order on reparations to victims was delivered. ➡️ https://t.co/XUC3IN2bQp
Watu wa Igbo waliuawa wakaamua waanzishe nchi yao inayoitwa Biafra ndani ya Nigeria. Mwaka 1968, Tanzania ikawa nchi ya kwanza ya Afrika kuitambua Biafra. Mwalimu aliamini nchi za Afrika zinahitaji umoja lakini hakutaka umoja wa nchi ujengwe kwa kuua watu. Ila 1970, Biafra ikafa.
Watu wa Igbo waliuawa wakaamua waanzishe nchi yao inayoitwa Biafra ndani ya Nigeria. Mwaka 1968, Tanzania ikawa nchi ya kwanza ya Afrika kuitambua Biafra. Mwalimu aliamini nchi za Afrika zinahitaji umoja lakini hakutaka umoja wa nchi ujengwe kwa kuua watu. Ila 1970, Biafra ikafa.
Walivyo wapumbavu watatafuta kukamata na huyu;Jamani ccm MJUMBE HAUAWI?
Kadri mnavyozidi kukaa na Dr. NCHIMBI;Ndivyo habari zake zinavuma zaidi mtaani,Wengi wanazidi kuvimba na kauli za CHUKI dhidi yenu zinaongezeka.
Kwanini wanatutendea hivi? Jambo la mmoja linageuka la wote.
Watanzania wengi wanaishi kwa shida, wakilipa kodi kwa jasho, machozi na maumivu, huku wachache wakijilimbikizia mali bila kujali mateso ya wananchi. Cha kuumiza zaidi ni pale wenye mamlaka na dhamana ya kuwatumikia wananchi wanapowasahau wanyonge waliowaamini.
Mh @TunduALissu ni rais wa Tanganyika anayekamilisha story book yake huko gerezani
Tusikate tamaa tumuunge mkono kwa vitendo
Mpaka tuhakikishe haki imeshinda
Kushambuliwa kwake ni shambulio dhidi ya haki
Ni shambulio dhidi ya demokrasia na uhuru wa kujieleza