@momentoviral We unadhani watoto wa sasa hivi ni kama sisi wa zamani, ๐. Kitoto saiv unakizaa kesho kinakurekebishia sim na mbwembwe kama zote unaishia kutoa macho tu. Mama flani hivi flani hajarudi shule anirekebishie simu ๐
@AbroadTanzania@Nnauye_Nape@HecheJohn@HildaNewton21 Sawa, natak nikusaidie ila naomba kujua kwanza unashitak au unatoa taarifa. Na kwakua alikukanyag makusud huku anaona. Km unashitk ungependa tumpe kesi ya jinai au madai?? ๐ฌ