@TBConlineTZ Nilisajili nida kwanamba ambayo kwasasa siitumii pia ilikuwa mkoa ambao nipo kimasomo, nimesubiri kwa miaka 6 kitambulisho sijui kikowapi japo namiliki namba pekee
@IdrisSultan Nikimpeleka kijana wangu ofisini basi nipatie namba ya fire pamoja na ambulance iliyopo karibu na eneo la kazini maana ni wazi tunachezea maisha
@MaxTz255_ Ukiyaona hayo matunda kimbia mbio sana, supu yake ikidondokea jichoni tayar kipofu, ukilamba hiyo supu kama ni jumatatu basi jumatano jioni kwishneiii