Hebu ngoja Kwanza.
Upo tayari kuona dada yako akipigwa na mumewe?
Upo tayari kuona mama yako akipigwa na Baba yako?
Unampiga mkeo tena hadharani mbele ya watoto wenu baadaye uje ulalamike hawakupendi eti mama yao nawafundisha hivyo.
Ukiona tabia umemshindwa Bora muachane.