Hili GARI na HAWA WATEKAJI ndio wanamfuatilia MAKAMU mwenyekiti HECHE .
Hakuna Kitu mtafanya kitabaki GIZANI, hamjifunzi tuu kwa yaliyofanyika MO29?
Sasa tunaacha hapa kama sehemu ya KUMBUKUMBU limtokee lolote baya MAKAMU tutarejea hapa.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
"Lissu hana kosa, anachosema ni kwamba rasilimali za Nchi hii zitumike kwaajili yetu sote na ndiyo maana tunakuja tunasema mzizi wa fitna wa mambo yote haya yatakatwa na Katiba mpya. Na tunazunguka sasa hivi kuwaomba watanzania wote mtuunge mkono kwenye suala la kudai katiba mpya na kuwaambia wamuachie Lissu, wasipitusikiliza kwasababu Nchi hii ni ya kwetu sote tutaenda hatua ya pili."
"Huu ndio ujumbe wetu kwenu na tunazunguka kusema, hatuna chuki na mtu, hatuna hasira na mtu lakini tunashida na Nchi yetu inavyoendeshwa." Amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania bara Bw. John Heche, akizungumza na wananchi wa Nachingwea kwenye Viwanja vya Mahuridi, Majengo C leo Alhamisi Juni 18, 2026.
KUMBEE! Msime na akina Muliro wote washafika muda wa kustaafu na wamestaafu muda ila wapo kwa mkataba
Yaani ni majanga! Askari zaidi ya 2,000 watafanya lolote kubembelezea mkataba!
Ndo maana wanaongea kama wamekatwa kichwa
Eniwei #TutaelewanaTu
This is my friend, Joseph Mwasote, also known as China.
China was abducted by police and security officers a few days before October 29, 2025.
After he was taken, he was stripped of his clothes and brutally tortured. We had no idea where he was. We searched for him everywhere. His son went from one police station to another looking for him, but found no answers.
China eventually resurfaced after last year’s election, physically and emotionally devastated by the torture he had endured. When he finally returned home, he learned the unthinkable: while he was being held in an undisclosed location, his son had been killed by the police.
There are many stories like this.
samia suluhu hassan and those responsible for these abuses have inflicted immense suffering on innocent people.
Tanzanians, we must not allow these atrocities to be forgotten or ignored. samia and those responsible must be held accountable. And they will be.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Ninachokiona huenda wameshahamisha familia zao.
Kwa chuki iliyopo mitaani na hasira za mauwaji ya mwaka jana; wakijaribu kitakachowatokea kitakuwa kikubwa sana. Kwa akili ya kawaida sioni kama maandamano yakitokea viongozi kama hawa na familua zao watakuwa salama.