Kwa kwei maji nimuhimu kwa mwanadamu ktk kijiji cha# kigendeka#kibondo#kigoma tunachagamoto kubwasana yaukosefu wa maji tunaomba oxfamu itusaidimaji @TZ_MsemajiMkuu @majaliwa_kassim@MagufuliJP@JosephKajuli
Kwa kweri ktk kijiji cha #kigendeka#kibondo#kigoma tunaomba tanescko mtusaidie umeme kwa sabu tunaukosefu mkubwa sana wa umeme @TZ_MsemajiMkuu @billmarwa@JosephKajuli@majaliwa_kassim
Kwa kweri tunaomba serikari iangarie maswara haho mawiri ambayo ni afya na erimu kwa kweri #kigendeka#kibondo#kigoma tunaobeni serikari itusaidie @umwalimu @TZ_MsemajiMkuu @billmarwa@majaliwa_kassim@JosephKajuli
Kwa kweri wananchi wamepatwa na majonzi kwasababu ya mama yuyo kufanyiwa kitendo cha kunyoforewa kizazi kwa kweri kama inawezekana achuriwe hatua @TZ_MsemajiMkuu @Tz makufuli @JosephKajuli@billmarwa@JosephKajuli
Kwa kweli sikilizeni wenyewe kitendo aloganyiwa huyu mama inasikitishasana mama huyuyu wakati wakujifungu na kinyoforewa kizazi watumishi wa afya wa kijiji cha#kifura #kibondo
Murikuja kuokoa wananchi sio kuwauwa @TZ_MsemajiMkuu @umwalimu @billmarwa@SuluhuSamia
Kwa kweli tunaombeni selikali itusaidie shule hii ya kiji cha#kingendeka#kibondo# kigoma haina madawati ya kutosha @TZ_MsemajiMkuu @majaliwa_kassim @bilimarwa @JosephKajuli@seth_illomo