Ama kweli naamini asemacho kiongozi kwetu ndio usahihi ulipo nchi kubwa tuna haki ya kumueleza kwa mapenzi ya Mungu atatenda tuombacho. https://t.co/2fieUwLwa3
Share life skills and how they are responsible with facilitate communities development project implementing around the village. https://t.co/2ydpDGoRdD
That's #Kibondo no water no good life, how comes your votes keep you at stressing position. without knowledge/ educated person #kibondo will remain as 1954 in mind set @UNHCRUSA@UNHumanRights help us water its so necessary.
I don't know what was going in TASAF beneficiaries the amount required to get it fro TASAF required by force to contribute CHF and school bricks for every income, I don't know what was going on in TASAF @TZ_MsemajiMkuu. Plse can you where that was going.
Komaa mtoto wa kiume, ulishawahi kuuliza wapi mambo ya Maendeleo ukanyimwa taarifa au kukashifiwa. Viongozi wa serikali wapo lakini inawezekana wwe sina ya swali ulilouliza na kauli uliotumia sio rafiki. https://t.co/dYLMxwhXjt
Hiyo sio shida ni mfumo wa baadhi ya viongozi wasiojua wajibu wao wa ukuwajibika na utoaji wa taarifa kwa wananchi. Nawe mwananchi unaishi kwa nidhamu ya woga na kariri mazingira uliozoea. Chukua hatua taarifa ni haki yako, hudama ni haki yako.tetea haki sio siasa. https://t.co/dYLMxwhXjt
Sio kosa langu kuondoka kwenye ubaharia na kuja kuvua maendeleo . kwani Maendeleo ni watu na viongozi kuongoza sehemu sahihi.(Uongozi=Unganisha, onyesha,Gawia,onya,zingatia na imarisha) @Joseph10111650 @muhagaze@BrightonKahili3
Ufanyaji wa ufuatialiaji wa mradi ya UMMA, nasi kma Jamii tuna haki yakujua na kufuatilia miradi iliyowekezwa kwetu.tuisaidie Serikali kulinda na kuifanya idumu, mfano
Mradi wa Maji, barabara, shule, Umeme. @Joseph10111650 @PamphiliusP@braiton_k@JosephlnaN
Tunahitji kusikia na kuona chama kinajikita kusikia Jamii kutambua chama na malengo ya chama kwa wana kibondo sio mavazi kijani. Onyesheni na Jamii itambue vijana wa kazi.(tutawajibisha msipotete kazi) https://t.co/aDMjJ9mUhi
Kilele cha mlima huu ni eneo lililotengwa kwa ajili ya mifugo. liko (w)kibondo kata ya kitahana. Lakini mpaka sasa TASAF wameshapanda eneo lote miti. Kwanza niwapongeze, japo mifugo hauruhusiwi kukanyaga eneo hilo tena, sasa hatimaye itakuwaje?@seth_illomo[email protected]
Kilele cha mlima huu ni eneo lililotengwa kwa ajili ya mifugo. liko (w)kibondo kata ya kitahana. Lakini mpaka sasa TASAF wameshapanda eneo lote miti. Kwanza niwapongeze, japo mifugo hauruhusiwi kukanyaga eneo hilo tena, sasa hatimaye itakuwaje?@seth_illomo[email protected]