Hua najiuliza kama maji yalitoka ziwa Victoria mpaka kahama penye urefu wa zaidi ya KM 200, inashindikana vipi kuleta maji wilaya ya kibondo kutoka mto malagarasi penye umbali wa chini ya KM 100? Bei ya maji #kibondo mjini ni Tsh 300-800 ndoo. #Chukuahatua@kitilam@JMakamba
#Kigoma kwenye bajeti ya mwenge hatukosi kila mwaka kwenye bajeti ya barabara hatusikii chochote tunaishia kusikia kwenye vyombo vya habari et lami ya mkoa flan ipo kwenye matengenezo na sio kigoma
#MjiTengwa@zittokabwe@MariaSTsehai@MarekaMalili
Jaman tunaomba kijij cha #kitahana wilaya ya #kibondo tunaomba serekali itusaidie kiongozi wa kutuongozea mikutano tangia 2017 mpaka sas hatuna M/KITI, tangia mwaka jana hatupati mikitano yoyote ile ya kijiji kw kikosa uongozi @JMnwele@hpolepole@majaliwa_kassim @TZ_MsemajiMkuu
Baadhi ya wajumbe wa wa kikao cha waragbishi na wadau wa elimu kata ya Rusohoko. Changamoto ni nyingi lakini mpango kazi wa pamoja utaleta mafanikio chanya. #chukuahatua
"Wito kwa Watanzania, kama unapata changamoto kwenye kupata huduma za afya, tujulishe kupitia mitandao ya kijamii pia. Tunafuatilia na tunasoma sana maoni yenu." - @DocFaustine@masoudkipanya#ChukuaHatua Angalia LIVE--> https://t.co/mulcOJU5T1
Ni muda mrefu tunalia kuhusu changamoto ya barabara katika wilaya ya #kibondo ni jambo jema kama serikali itasikia kilio chetu tuweze kupata barabara ya #lami mtukumbuke wananchi wa #kigoma@MagufuliJP@kassim_majaliwa
Dhana ya utawala bora huendana na utekelezaji wa mipango mikakati ya taifa inayowekwa ili kuleta huduma bora kwa jamii hivyo tunaiomba serikali kupitia kwa @MbarawaM na @atashasta ituboreshee barabara yetu ya #kibondo kwa kiwango cha #lami@MagufuliJP@KwizeraRadio#chukuaHatua
@JaylosK @umwalimu @wizara_afyatz Kabisa hiyo haieleweki katika jamii tungeomba serikali itoe tamko rasmi ili wananchi waelewe kiasi kamili kinachostahili kuchangishwa kwa nchi nzima iwe sawa @umwalimu @WizaraYaAfya
Mwitikio mkubwa wakata nyasato .viongozi wakata kijiji na madiwani mhandisi nakamati yamaendeleo baada yakufanya ukaguzi wajengo namraghabishi Lucy wote kwapamoja wanasema kazi ndio msingi wa maisha.