Ukivumilia, Unaonekana huna pakwenda, Ukienda unaonekana
umeshindwa kuvumilia… Duuuu!!!!
Ndugu zanguni mwisho wa siku tutafuteni tu furaha yetu inatosha.
@Rydx_017 Kanikumbusha mbali sana, Huku M'bilia Bell, pale unamkuta Tshala Muana (mama wa vichupi) unamalizia na Boz Bozian a.k.a Benz... watoto wa 2000 hawawezi elewa kitu.
@chapo255@kalegamyeh Sawa na biashara ya "Liquor store" kama hupati mzigo wa mchongo, hutoboi, utaishia kunywa na wana tu.
Wengi wanunua za michongo kitongo, zimepigwa kwenye hotels, sherehe, na hata kwa hao suppliers, kisha wanakuja kuwauza wenye store zao.
@VodacomTanzania Sasa @VodacomTanzania maelezo yenu kwenye kudhibiti data, simu za "iOS" maelezo ni lugha ya Kingereza, halafu kwenye "Android" maelezo Kiswahili tena kile kigumu, Hivi mna hakika hakuna watumiaji wa "Android" kwa lugha ya Kingereza? au Android users hawajui Kingereza?