Sijasoma UDSM ila kwa research yangu ndogo, ukimaliza pale maisha hayawezi kukunyanyasa au kukaa kusubiri ajira. Yani kila graduate wa UD ni hustler hapa jijini.
Isaya 60:1
Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa BWANA umekuzukia.
Good morning dear x friends,nuru yako ikiangaza kila jambo litakuwa jepesi.
Hata kama unapitia magumu kiasi gani usiache kufanya ibada na kumshukuru Mungu kwani ndie mwenye ufumbuzi na magumu yako ✍️🙏
Good morning ladies and gentlemen 👊🏾